Klabu ya Yanga SC imekamilisha rasmi usajili wa mlinzi mwenye asili ya Ivory Coast, Oumar Farouk Komara, kutoka klabu ya Golden Arrows ya Afrika Kusini inayoshiriki Ligi Kuu ya nchi hiyo. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ametambulishwa rasmi kuwa sehemu ya kikosi cha "Wananchi" kuelekea msimu wa 2026/27, akiwa na jezi namba 33.
Komara amevutia benchi la ufundi la Yanga kutokana na..... download Xtra 90 App



