Kikosi cha Simba SC leo kimehitimisha kambi yake ya maandalizi ya msimu mpya nchini Rwanda kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Al Merriekh katika mchezo wa kirafiki uliopigwa asubuhi ya leo kwenye Uwanja wa Pele.
Wekundu wa Msimbazi walionyesha ubora wao tangu mwanzo wa mchezo, huku mshambuliaji Libasse Gueye akiifungia Simba bao la kwanza mapema katika dakika ya tatu kabla ya Abraham..... download Xtra 90 App



