Kiungo wa Chelsea, Moisés Caicedo, ameonyesha wazi kuwa anatamani kuendelea kucheza pamoja na Enzo Fernández, akisema uwepo wa kiungo huyo wa Argentina katika kikosi cha The Blues msimu ujao utakuwa jambo kubwa kwa timu.
Caicedo alipoulizwa kuhusu Enzo alisema: “Nampenda Enzo… Kama akibaki hapa, itakuwa jambo kubwa sana kwetu.” Kauli hiyo imekuja wakati..... download Xtra 90 App



