Singida BS yasuka upya benchi la ufundi

Joel JJ By Joel JJ • 5th August 2026

Singida BS yasuka upya benchi la ufundi

Klabu ya Singida Black Stars imetangaza rasmi kufanya mabadiliko makubwa katika benchi lake la ufundi kwa ajili ya msimu ujao.

Hatua hii imekuja baada ya timu hiyo kurejea kutoka nchini Rwanda kwenye michuano ya CECAFA Kagame Cup 2026.

Singida BS imemtangaza rasmi Kocha Mkuu Papy Kimoto. Mtaalamu huyo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), mwenye umri wa miaka 50 na leseni..... download Xtra 90 App

More Stories

Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Twiga Stars waaga WAFCONkwa kuvunja rekodi ya kihistoria
Today, READ MORE →
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Salah mbioni kutua Trabzonspor
Today, READ MORE →
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Singida BS yasuka upya benchi la ufundi
Today, READ MORE →
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Barcelona yaandaa jaribio la mwisho kumsajili Julian Álvarez
Today, READ MORE →
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Depú huenda akaondoka Yanga, Petro de Luanda yagoma dau
Today, READ MORE →
Neo Maema arejea Simba kwa mkopo wa mwaka mmoja
Neo Maema arejea Simba kwa mkopo wa mwaka mmoja
Today, READ MORE →
Simba kumrejesha Maema kwa mkopo
Simba kumrejesha Maema kwa mkopo
Today, READ MORE →
Moises Caicedo atuma ujumbe mzito kwa mashabiki, Akimsihi Enzo abaki Chelsea.
Moises Caicedo atuma ujumbe mzito kwa mashabiki, Akimsihi Enzo abaki Chelsea.
Today, READ MORE →
Rs Berkane yamtangaza Bupista wa Cape Verde kuwa kocha mkuu mpya
Rs Berkane yamtangaza Bupista wa Cape Verde kuwa kocha mkuu mpya
Today, READ MORE →
"Yuko wapi Depu" mashabiki na wadau wa yanga waulizia mshambuliaji wao
Today, READ MORE →