Macho ya mashabiki wa soka Tanzania leo Alhamisi, Agosti 6, 2026, yataelekezwa jijini Cairo, Misri, ambako Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) litafanya droo ya hatua za awali za michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League - CAFCL) na Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup - CAFCC) msimu wa 2026/2027.
Droo hiyo itakayofanyika katika makao makuu ya..... download Xtra 90 App



