Ni rasmi, Yanga imezindua jezi zake kwa ajili ya msimu wa mashindano 2026/27. Matoleo matatu ya jezi za nyumbani, ugenini na jezi maalum ya tatu.
Vipi hapa Wananchi tunawapa asilimia ngapi?...!