Singida Black Stars wamepangwa kukutana na Al Ghazala SC katika hatua ya kwanza ya awali ya CAF Confederation Cup msimu wa 2026/27, kufuatia droo iliyofanyika jijini Cairo, Misri. Wawakilishi hao wa Tanzania wataanza kampeni yao ya kimataifa kwa lengo la kuvuka hatua hiyo na kuendelea na safari ya kuelekea makundi ya mashindano.
Endapo Singida Black Stars watafanikiwa kuiondoa Al Ghazala..... download Xtra 90 App



