Real Madrid imeshinda vita kubwa ya usajili baada ya kumsajili winga chipukizi wa RB Leipzig, Yan Diomande, kwa ada inayofikia pauni milioni 120.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ivory Coast alikuwa mmoja wa vipaji vilivyokuwa vikifuatiliwa kwa karibu zaidi barani Ulaya, huku klabu kadhaa kubwa zikiwemo Paris Saint-Germain, Liverpool, Arsenal na Manchester City zikionyesha nia ya..... download Xtra 90 App



