Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limeiweka Yanga miongoni mwa klabu kadhaa za Afrika zilizopigwa marufuku ya kusajili wachezaji wapya kutokana na maamuzi ya kesi mbalimbali zilizopo mbele ya shirikisho hilo.
Mbali na Yanga, klabu nyingine zilizotajwa kwenye orodha hiyo ni US Monastir ya Tunisia, Dhahra SC na Al Anwar za Libya, Chippa United ya Afrika Kusini pamoja na MB Rouissat ya..... download Xtra 90 App



