Mshambuliaji hatari na mfungaji bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/26, Mossi Nduwumwe, amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na miamba ya soka ya Algeria, klabu ya MC Alger.
Mrundi huyo aliyekuwa nguzo muhimu ndani ya kikosi cha Singida Black Stars, anaondoka nchini kwa makubaliano ya mkopo wa msimu mmoja.
Mkataba huo unaripotiwa kuwa na kipengele kinachoipa MC Alger kipaumbele..... download Xtra 90 App



