Mossi atua MC Alger

Joel JJ By Joel JJ β€’ 7th August 2026

Mossi atua MC Alger

Mshambuliaji hatari na mfungaji bora wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/26, Mossi Nduwumwe, amekamilisha uhamisho wake wa kujiunga na miamba ya soka ya Algeria, klabu ya MC Alger.

Mrundi huyo aliyekuwa nguzo muhimu ndani ya kikosi cha Singida Black Stars, anaondoka nchini kwa makubaliano ya mkopo wa msimu mmoja.

Mkataba huo unaripotiwa kuwa na kipengele kinachoipa MC Alger kipaumbele..... download Xtra 90 App

More Stories

Selemani Mwalimu arejea rasmi Wydad AC baada ya kumaliza mkopo Simba SC
Selemani Mwalimu arejea rasmi Wydad AC baada ya kumaliza mkopo Simba SC
Today, READ MORE β†’
Simba yaialika Polisi FC Kenya kunogesha Simba Day ya miaka 90
Simba yaialika Polisi FC Kenya kunogesha Simba Day ya miaka 90
Today, READ MORE β†’
Vini Jr aongeza mkataba wa miaka sita Real Madrid hadi 2032
Vini Jr aongeza mkataba wa miaka sita Real Madrid hadi 2032
Today, READ MORE β†’
CECAFA Kagame Cup 2026 kufikia tamati leo kwa fainali na mchezo wa mshindi wa tatu
CECAFA Kagame Cup 2026 kufikia tamati leo kwa fainali na mchezo wa mshindi wa tatu
Today, READ MORE β†’
Mossi atua MC Alger
Mossi atua MC Alger
Today, READ MORE β†’
Yanga yapigwa marufuku ya usajili na FIFA
Yanga yapigwa marufuku ya usajili na FIFA
Today, READ MORE β†’
Maema sasa ni uhakika Msimbazi, kutua wakati wowote
Maema sasa ni uhakika Msimbazi, kutua wakati wowote
Today, READ MORE β†’
Kamwe atamba: Yanga itafunga usajili Jumapili
Kamwe atamba: Yanga itafunga usajili Jumapili
Today, READ MORE β†’
Real Madrid yamnyakua Yan Diomande kwa Pauni Milioni 120
Real Madrid yamnyakua Yan Diomande kwa Pauni Milioni 120
Today, READ MORE β†’
Rodri awafungulia milango Barcelona baada ya Real Madrid kusuasua
Rodri awafungulia milango Barcelona baada ya Real Madrid kusuasua
Today, READ MORE β†’