Ni siku moja tu imesalia kuelekea kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Simba, ambapo maelfu ya mashabiki wa Simba wanatarajiwa kukutana katika Tamasha kubwa la Simba Day litakalofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Tamasha la mwaka huu ni la kipekee kwani linaenda sambamba na maadhimisho ya miaka 90 ya Klabu ya Simba, likiwa na ratiba ya burudani na matukio mbalimbali kabla ya..... download Xtra 90 App



