Mshambuliaji wa Tanzania, Selemani Mwalimu, amerejea rasmi katika klabu ya Wydad Athletic Club ya Morocco baada ya kumalizika kwa mkataba wake wa mkopo wa msimu mmoja akiwa Simba SC. Mchezaji huyo tayari ameanza mazoezi na kikosi cha Wydad kinachojiandaa na msimu mpya wa 2026/27, akifungua ukurasa mpya baada ya kumaliza majukumu yake nchini Tanzania.
Kurejea kwake kunafuatia kushindikana..... download Xtra 90 App



