Chelsea wanakabiliwa na kazi kubwa katika siku 25 zijazo baada ya kulazimika kuwaondoa wachezaji 16 ili kupunguza kikosi chao cha wachezaji wa timu ya kwanza, ambacho kwa sasa kina jumla ya wachezaji 41.
Kwa mujibu wa BBC Sport, shinikizo hilo limeongezeka kufuatia marufuku ya FIFA dhidi ya utaratibu wa “bomb squad”, huku kocha Xabi Alonso akilenga kuingia msimu mpya akiwa na..... download Xtra 90 App



