Leo ni siku ya kipekee kwa familia ya Simba SC, huku maelfu ya mashabiki wa klabu hiyo wakitarajiwa kujitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kusherehekea tamasha la kila mwaka la Simba Day.
Tamasha la mwaka huu lina uzito wa pekee kwa kuwa linaenda sambamba na maadhimisho ya miaka 90 tangu kuanzishwa kwa Simba SC, moja ya klabu kongwe na zenye mafanikio..... download Xtra 90 App



