Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo unageuka kuwa kitovu cha burudani na shangwe, huku maelfu ya mashabiki wa Yanga wakijitokeza kwa wingi kushuhudia kilele cha tamasha la nane la Wiki ya Mwananchi, maarufu kama Yanga Day.
Tamasha hilo limeanza kwa shamrashamra mbalimbali, huku burudani, michezo na matukio ya kipekee yakitawala katika siku ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa hamu na..... download Xtra 90 App



