Baada ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ali, kuongoza shamrashamra za utambulisho wa kikosi cha Simba katika Uwanja wa Uhuru jana, leo ni zamu ya mwenzake kutoka Yanga, Ali Kamwe, kuingia dimbani kuongoza tukio la utambulisho wa kikosi cha Wananchi.
Kamwe anatarajiwa kuwa mmoja wa watu watakaobeba jukumu kubwa la kuliongoza tukio hilo, huku mashabiki wa Yanga wakisubiri..... download Xtra 90 App



