Sherehe za Yanga Day zimehitimishwa kwa huzuni baada ya Yanga SC kukumbana na kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Les Aigles Du Congo katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru.
Yanga ilianza mchezo huo kwa matumaini makubwa baada ya kupata bao la kuongoza kupitia kwa mshambuliaji wake, Peter Shalulile, aliyefunga kwa mkwaju wa penalti kufuatia kuangushwa ndani ya..... download Xtra 90 App



