Baada ya kuhitimisha matamasha yao ya SIMBA DAY na YANGA DAY, watani wa jadi Simba na Yanga wanaelekea visiwani Zanzibar kuchuana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.
Mchezo huo wa kuashiria ufunguzi wa msimu mpya wa mashindano 2026/27 utapigwa Jumatano, August 12 saa 2:30 usiku kwenye uwanja wa New Amaan Complex.
Simba tayari imewasili visiwani Zanzibar kukamilisha maandalizi yake..... download Xtra 90 App



