Simba, Yanga sasa kuoneshana kazi Zanzibar, Ngao ya Jamii

Joel JJ By Joel JJ β€’ 10th August 2026

Simba, Yanga sasa kuoneshana kazi Zanzibar, Ngao ya Jamii

Baada ya kuhitimisha matamasha yao ya SIMBA DAY na YANGA DAY, watani wa jadi Simba na Yanga wanaelekea visiwani Zanzibar kuchuana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii.

Mchezo huo wa kuashiria ufunguzi wa msimu mpya wa mashindano 2026/27 utapigwa Jumatano, August 12 saa 2:30 usiku kwenye uwanja wa New Amaan Complex.

Simba tayari imewasili visiwani Zanzibar kukamilisha maandalizi yake..... download Xtra 90 App

More Stories

TFF yazindua mfumo wa kununua tiketi kidigitali
TFF yazindua mfumo wa kununua tiketi kidigitali
Today, READ MORE β†’
Gwalala aanza kazi TRA United
Gwalala aanza kazi TRA United
Today, READ MORE β†’
Infantino mambo yanazidi kuwa magumu FIFA
Infantino mambo yanazidi kuwa magumu FIFA
Today, READ MORE β†’
Rashford aanza maisha upya Manchester United
Rashford aanza maisha upya Manchester United
Today, READ MORE β†’
Fei Toto aibuka kidedea tuzo ya mchezaji bora Zanzibar
Fei Toto aibuka kidedea tuzo ya mchezaji bora Zanzibar
Today, READ MORE β†’
Simba, Yanga sasa kuoneshana kazi Zanzibar, Ngao ya Jamii
Simba, Yanga sasa kuoneshana kazi Zanzibar, Ngao ya Jamii
Today, READ MORE β†’
Yanga yapigwa na Les Aigles Du Congo Yanga Day
Yanga yapigwa na Les Aigles Du Congo Yanga Day
Today, READ MORE β†’
Yanga yatangaza kuwaongeza mastaa mikataba
Yanga yatangaza kuwaongeza mastaa mikataba
Today, READ MORE β†’
Kamwe kuongoza shamrashamra za utambulisho Yanga
Kamwe kuongoza shamrashamra za utambulisho Yanga
Yesterday, READ MORE β†’
Mabula kutangazwa Yanga leo?
Mabula kutangazwa Yanga leo?
Yesterday, READ MORE β†’