Kiungo wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania, Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’, ameongeza heshima nyingine kwenye rekodi yake baada ya kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka (MVP) wa Zanzibar kwa msimu wa 2025/26.
Fei Toto ameshinda tuzo hiyo katika Tuzo za ZFF/PBZ 2026, zilizoandaliwa na Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), akiwapiku baadhi ya nyota waliokuwa wakitajwa katika..... download Xtra 90 App



