Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetambulisha rasmi mfumo mpya wa kidigitali wa ununuzi wa tiketi kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya Jamii utakaowakutanisha watani wa jadi, Simba na Yanga.
Mfumo huo mpya unalenga kurahisisha upatikanaji wa tiketi kwa mashabiki pamoja na kuimarisha usalama na udhibiti wa uingiaji uwanjani wakati wa mchezo huo unaotarajiwa kuwa na idadi kubwa ya..... download Xtra 90 App



