Dirisha la usajili linaendelea kushika kasi kwa klabu za Tanzania, huku Singida Black Stars, Simba SC na Azam FC zikifanya harakati mbalimbali za kuimarisha vikosi vyao kuelekea msimu mpya wa mashindano.
DEAL DONE: SEYDOU SACKO ATUA SINGIDA BLACK STARS!
Singida Black Stars wamekamilisha usajili wa kiungo mkabaji na nahodha Seydou Sacko (23) kutoka Asec Mimosas ya Ivory Coast. Sacko..... download Xtra 90 App



