Steve Barker: Simba inaingia kwa lengo la kutwaa Ngao ya Jamii

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said β€’ 11th August 2026

Steve Barker: Simba inaingia kwa lengo la kutwaa Ngao ya Jamii

Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amesema timu yake iko tayari kwa pambano la Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC litakalochezwa Agosti 12, akisisitiza kuwa wanaingia uwanjani kwa lengo la kushinda na kutwaa taji hilo. Barker amesema maandalizi yamefanyika kwa umakini katika maeneo yote muhimu kuelekea mchezo huo mkubwa.

Barker amesema Simba imejiandaa katika nyanja za kiufundi, kimwili,..... download Xtra 90 App

More Stories

Umafia waliofanya Yanga kumsajili Mwalimu kutoka Simba

Today, READ MORE β†’
Omar Artan Kuchezesha mechi ya Uefa super cup kati ya PSG na Aston Villa.

Manqoba Mngqithi: Yanga iko tayari kuivutia mashabiki dhidi ya Simba
Manqoba Mngqithi: Yanga iko tayari kuivutia mashabiki dhidi ya Simba
Today, READ MORE β†’
Steve Barker: Simba inaingia kwa lengo la kutwaa Ngao ya Jamii
Steve Barker: Simba inaingia kwa lengo la kutwaa Ngao ya Jamii
Today, READ MORE β†’
Tetesi za usajili, Zikiendelea kupamba moto.

Yanga yamuiba Mwalimu Zanzibar
Yanga yamuiba Mwalimu Zanzibar
Today, READ MORE β†’
Alvares arejea Madrid baada mapumziko, Barcelona bado inamtaka

TFF yazindua mfumo wa kununua tiketi kidigitali

Gwalala aanza kazi TRA United
Gwalala aanza kazi TRA United
Yesterday, READ MORE β†’
Infantino mambo yanazidi kuwa magumu FIFA