Kocha Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, amesema timu yake iko tayari kwa pambano la Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC litakalochezwa Agosti 12, akisisitiza kuwa wanaingia uwanjani kwa lengo la kushinda na kutwaa taji hilo. Barker amesema maandalizi yamefanyika kwa umakini katika maeneo yote muhimu kuelekea mchezo huo mkubwa.
Barker amesema Simba imejiandaa katika nyanja za kiufundi, kimwili,..... download Xtra 90 App



