Simba SC imesema haijayumbishwa wala kushtushwa na kitendo cha watani zao Yanga SC kumsajili mshambuliaji Suleiman Mwalimu, ambaye awali alitangazwa kujiunga na Wekundu wa Msimbazi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Crescentius Magori, amesema klabu hiyo haijafanya taharuki kutokana na uamuzi wa Yanga kumnasa Mwalimu, akieleza kuwa suala kubwa lililokuwa likiwazuia ni gharama..... download Xtra 90 App



