Klabu ya Azam FC imewaaga rasmi wachezaji wanne waliokuwa sehemu ya kikosi chake msimu uliopita, ikiwa ni hatua nyingine katika maboresho ya kikosi kuelekea msimu mpya wa 2026/27. Kupitia ujumbe wa “ADIEU” (Kwaheri), klabu hiyo imewapongeza kwa mchango wao na kuwatakia kila la heri katika hatua mpya za maisha yao ya soka.
Wachezaji walioaga ni kipa Issa Fofana, beki Ben..... download Xtra 90 App



