Mshambuliaji mpya wa yanga Selemani Mwalimu mchana huu amewasili visiwani zanzibar kuungana na kikosi cha timu hiyo kuelekea mchezo wa Ngao ya jamii dhidi ya Yanga utakaochezwa apo kesho.
Mwalimu ambae amejiunga na yanga kwa mkopo akitokea Wydad Casablanca usajiri wake umeshika nafasi kubwa hii leo kufuatia matarajio ya wengi kuona nyota huyo akijiunga na Simba ambao walimtambulisha..... download Xtra 90 App



