Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa mfumo wa usaidizi wa waamuzi kwa njia ya video, Video Support (VS), utatumika kwa mara ya kwanza nchini katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga na Simba SC.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, huku matumizi ya mfumo huo yakitarajiwa kuongeza usaidizi kwa waamuzi katika..... download Xtra 90 App



