Ngao ya Jamii: Yanga inaingia kwenye dabi na maswali mengi.

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media β€’ 12th August 2026

Ngao ya Jamii: Yanga inaingia kwenye dabi na maswali mengi.

Yanga SC inaingia kwenye Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba ikiwa na maswali kadhaa kutokana na mabadiliko yaliyofanyika ndani ya kikosi na benchi la ufundi.

Kutokuwepo kwa Dube, Pacome, Job na Mzize, pamoja na wachezaji wengine ambao walikuwa sehemu ya kikosi kilichopata matokeo mazuri misimu iliyopita, kunaongeza changamoto kwa Yanga.

Pia, Yanga imefanya usajili wa wachezaji wengi na..... download Xtra 90 App

More Stories

UEFA SUPER CUP: PSG VS Aston Villa, Burudani ya soka ulaya kuendelea leo.

Today, READ MORE β†’
Ngao ya Jamii: Yanga inaingia kwenye dabi na maswali mengi.
Ngao ya Jamii: Yanga inaingia kwenye dabi na maswali mengi.
Today, READ MORE β†’
Video Support kuanza kutumika Ngao ya Jamii Zanzibar

Simba mbioni kumnasa Mgunda
Simba mbioni kumnasa Mgunda
Today, READ MORE β†’
Arajiga kuziamua Yanga, Simba Ngao ya Jamii Zanzibar

Rasmi: Gibril Sillah arejea Azam Fc.
Rasmi: Gibril Sillah arejea Azam Fc.
Today, READ MORE β†’
Upande wa mchezaji ulitubadirikia, Wanasimba Tulieni: Crescentius Magoli

Mwalimu atua Zanzibar kujiandaa na Derby apo Kesho

Azam FC yaaga wachezaji wanne kabla ya msimu mpya

Simba haijastushwa na Mwalimu kutua Yanga - Magori