Klabu ya Petro Atlético ya Angola imetangaza rasmi kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga SC, Laurindo Aurelio ‘Depu’, katika uhamisho unaotajwa kuingizia Yanga zaidi ya Bilioni 1.
Depu, ambaye aliitumikia Yanga kwa kipindi kifupi cha takribani miezi sita, aliondoka Tanzania jana kuelekea Angola kwa ajili ya kukamilisha hatua za mwisho za uhamisho wake na kujiunga na..... download Xtra 90 App



