Cristiano Ronaldo na Georgina Rodríguez wamefunga ndoa rasmi baada ya takribani muongo mmoja wa kuwa pamoja, wakifikisha kwenye hatua mpya uhusiano wao ulioanza mwaka 2016.
Ronaldo, mwenye umri wa miaka 41, na Georgina, 32, walifunga ndoa katika sherehe ya kiraia iliyofanyika kwa faragha mjini Cascais, nchini Portugal, Agosti 11, 2026. Taarifa za ndoa hiyo zimeibuka baada ya wawili..... download Xtra 90 App



