Licha ya tetesi za kuhusishw na klabu za Yanga na Simba, kiungo mshambuliaji wa Azam Fc Feisal Salum 'Fei Toto' ameendelea na majukumu yake kwa matajiri hao wa Chamazi.
Azam Fc imehitimisha pre-season yake nchini Rwanda ambapo leo imeondoka nchini humo kuelekea Arusha.
Fei Toto ni miongoni mwa wachezaji waliosafiri na kikosi hicho kutoka Rwanda ambapo jioni ya leo watakuwa mkoani..... download Xtra 90 App



