Azam Fc yamaliza pre-season Rwanda, yaelekea Arusha, Fei Toto ndani

Joel JJ By Joel JJ β€’ 12th August 2026

Azam Fc yamaliza pre-season Rwanda, yaelekea Arusha, Fei Toto ndani

Licha ya tetesi za kuhusishw na klabu za Yanga na Simba, kiungo mshambuliaji wa Azam Fc Feisal Salum 'Fei Toto' ameendelea na majukumu yake kwa matajiri hao wa Chamazi.

Azam Fc imehitimisha pre-season yake nchini Rwanda ambapo leo imeondoka nchini humo kuelekea Arusha.

Fei Toto ni miongoni mwa wachezaji waliosafiri na kikosi hicho kutoka Rwanda ambapo jioni ya leo watakuwa mkoani..... download Xtra 90 App

More Stories

Azam Fc yamaliza pre-season Rwanda, yaelekea Arusha, Fei Toto ndani
Azam Fc yamaliza pre-season Rwanda, yaelekea Arusha, Fei Toto ndani
Today, READ MORE β†’
Ronaldo, Georgina wafunga ndoa baada ya miaka 10 ya uchumba

Barcelona yaongeza dau kumsajili Rodri
Barcelona yaongeza dau kumsajili Rodri
Today, READ MORE β†’
Simba, Mgunda makubaliano yamefikiwa, asubiri utambulisho

Petro Atletico wakamilisha usajili wa Depu

Uwezo wa Okello hatarini kukosekana Yanga Msimu huu

UEFA SUPER CUP: PSG VS Aston Villa, Burudani ya soka ulaya kuendelea leo.

Ngao ya Jamii: Yanga inaingia kwenye dabi na maswali mengi.

Video Support kuanza kutumika Ngao ya Jamii Zanzibar

Simba mbioni kumnasa Mgunda
Simba mbioni kumnasa Mgunda
Today, READ MORE β†’