Chelsea imeweka msimamo wa mwisho kwa Manchester City katika mazungumzo ya kumtaka kiungo wa Argentina, Enzo Fernandez, ikisisitiza kuwa lazima ilipe Pauni milioni 120 ifikapo saa 11 jioni kwa saa za Uingereza siku ya Ijumaa. Kwa mujibu wa taarifa za mwandishi Fabrizio Romano, Chelsea haitakuwa tayari kupunguza kiasi hicho, hivyo City wanapaswa kufikia thamani hiyo endapo wanataka kukamilisha..... download Xtra 90 App



