Kocha mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza, amesema lengo la klabu hiyo katika msimu mpya wa NBC Premier League 2026/27 ni kumaliza katika nafasi ya sita au juu zaidi. Pamba Jiji inaanza safari yake ya msimu mpya dhidi ya Dodoma Jiji katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, huku kikosi kikiwa na matumaini ya kuanza kampeni kwa matokeo mazuri.
Baraza amesema maandalizi ya timu yameenda..... download Xtra 90 App



