Kocha mkuu wa Dodoma Jiji, Mashame Vincent, amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa ufunguzi wa msimu mpya wa NBC Premier League 2026/27 dhidi ya Pamba Jiji. Mashame amesema wachezaji wake wamefanya maandalizi mazuri na wana hamasa kubwa ya kuanza msimu kwa matokeo chanya katika mchezo utakaochezwa Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Kwa upande wake, mchezaji Mwana Kibuta amesema..... download Xtra 90 App



