Msimu mpya wa ligi kuu Tanzania Bara 2026-27 unatarajiwa kuanza apo kesho Ijumaa ya Agosti 14 2026 huku viwanja vitatu vikitegemewa kuwaka moto katika mwanzo wa ligi hiyo .
Ligi hiyo inayotarajiwa kuwa ya aina yake apo kesho itajumisha mechi ya Pamba jiji na Dodoma jiji itakayochezwa saa nane mchana ikifuatiwa na mchezo wa Mbeya city na Geita Gold saa kumi na robo kisha siku hiyo..... download Xtra 90 App



