Timu ya azam fc imekamilisha usajiri wa mlinzi wa kati raia wa CongoDR Nathan Fasika Idumba ambaye anaenda kuongeza nguvu katika timu hiyo kuelekea msimu mpya wa mashindano 2026-27.
Idumba amewahi kucheza soka la kulipwa nchini Nowray lakini pia amewahi kutumikia vilabu vya Chippa United na Cape town city vya Afrika kusini anaenda kuongeza nguvu eneo la ulinzi la timu hiyo.



