Aliyekuwa kiungo wa Azam FC, James Akaminko, ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa klabu ya Al-Akhdar SC inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Libya.
Nyota huyo raia wa Ghana amekamilisha uhamisho wake kwenda Afrika Kaskazini kama mchezaji huru, baada ya kumaliza mkataba wake na matajiri hao wa Chamazi ambao aliwatumikia tangu mwaka 2022.
Akaminko amesaini mkataba wa mwaka mmoja..... download Xtra 90 App



