JKT Tanzania yamnasa Chikola, yampa miaka miwili

Joel JJ By Joel JJ β€’ 14th August 2026

JKT Tanzania yamnasa Chikola, yampa miaka miwili

JKT Tanzania imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Offen Chikola kutoka Yanga SC, baada ya pande hizo kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake na mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara.

Chikola amesaini mkataba wa miaka miwili na JKT Tanzania, ambao utaanza kutumika rasmi katika msimu wa 2026/2027.

Mchezaji huyo alijiunga na Yanga msimu uliopiya akitokea Tabora United ambayo kwa..... download Xtra 90 App

More Stories

Jean Baleke: Nikipigiwa simu na Simba niko tayari kurudi
Jean Baleke: Nikipigiwa simu na Simba niko tayari kurudi
Today, READ MORE β†’
Kocha wa yanga amwaga sifa kwa Juma Mgunda asema ni Kocha mzuri
Kocha wa yanga amwaga sifa kwa Juma Mgunda asema ni Kocha mzuri
Today, READ MORE β†’
Mngqithi: Tuna imani tutapata matokeo mazuri dhidi ya Namungo
Mngqithi: Tuna imani tutapata matokeo mazuri dhidi ya Namungo
Today, READ MORE β†’
Bursaspor yamkomalia Oura, yaongeza dau
Bursaspor yamkomalia Oura, yaongeza dau
Today, READ MORE β†’
Akaminko atua Al-Akhdar ya Libya
Akaminko atua Al-Akhdar ya Libya
Today, READ MORE β†’
JKT Tanzania yamnasa Chikola, yampa miaka miwili
JKT Tanzania yamnasa Chikola, yampa miaka miwili
Today, READ MORE β†’
Pazia la ligi kuu 2026/27 linafunguliwa leo
Pazia la ligi kuu 2026/27 linafunguliwa leo
Today, READ MORE β†’
Mkude kuibukia Mashujaa Fc
Mkude kuibukia Mashujaa Fc
Today, READ MORE β†’
Azam yakamilisha usajiri wa kitasa kutoka CongoDR
Azam yakamilisha usajiri wa kitasa kutoka CongoDR
Today, READ MORE β†’
Ligi kuu Tanzania Bara kurejea Kesho Kwa Mechi Tatu Kuchezwa
Ligi kuu Tanzania Bara kurejea Kesho Kwa Mechi Tatu Kuchezwa
Today, READ MORE β†’