JKT Tanzania imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Offen Chikola kutoka Yanga SC, baada ya pande hizo kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba wake na mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara.
Chikola amesaini mkataba wa miaka miwili na JKT Tanzania, ambao utaanza kutumika rasmi katika msimu wa 2026/2027.
Mchezaji huyo alijiunga na Yanga msimu uliopiya akitokea Tabora United ambayo kwa..... download Xtra 90 App



