Klabu ya Yanga imeandaa hafla maalumu ya utambulisho wa mchezaji wao mpya katika dirisha hili kuelekea msimu wa 2026-27 ambapo utambulisho huo utafanyika apo kesho katika uwanja wa KMC jijini Dar es salaam.
Kupitia mkutano na wanahabari Meneja habari na Mawasiliano wa Yanga Ally Shaban Kamwe amesema kuwa utambulisho wa mchezaji huyo utaanza majira ya saa kumi jioni na atakuwa nyota wa..... download Xtra 90 App



