Klabu ya Simba SC inatajwa kukamilisha usajili wa wachezaji watatu wapya, huku uongozi wa Wekundu wa Msimbazi ukiharakisha kukamilisha mipango hiyo kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili usiku wa leo Jumamosi, August 15 2026
Miongoni mwa wachezaji wanaotarajiwa kutua Msimbazi ni mshambuliaji wa JKT Tanzania, Paul Peter Kasunda, mwenye umri wa miaka 27. Kasunda tayari amefikia..... download Xtra 90 App



