Kiungo mshambuliaji wa Azam FC Feisal Salumu atakosa mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu Tanzania bara hii Leo dhidi ya Polisi Tanzania kufuatia Adhabu ya kadi nyekundu aliyoipata kwenye mchezo wa fainali ya CRDB FEDERATION CUP dhidi ya Simba msimu wa 2025-26.
Adhabu hiyo inakuja baada ya kiungo huyo kumpiga kwa makusudi winga wa Simba Libasse Gueye katika mchezo huo uliochezwa visiwani..... download Xtra 90 App



