Simba SC imemtambulisha rasmi mshambuliaji Ismail Mgunda kuwa mchezaji mpya wa Wekundu wa Msimbazi, akitokea Mashujaa FC.
Mgunda anatarajiwa kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya Simba kuelekea msimu wa 2026/27.
Nyota huyo amejumuishwa kwenye kikosi cha Simba kilichosafiri Kagera tayari wa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa..... download Xtra 90 App



