Mgunda atua Simba

Joel JJ By Joel JJ β€’ 15th August 2026

Mgunda atua Simba

Simba SC imemtambulisha rasmi mshambuliaji Ismail Mgunda kuwa mchezaji mpya wa Wekundu wa Msimbazi, akitokea Mashujaa FC.

Mgunda anatarajiwa kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya Simba kuelekea msimu wa 2026/27.

Nyota huyo amejumuishwa kwenye kikosi cha Simba kilichosafiri Kagera tayari wa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar utakaopigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa..... download Xtra 90 App

More Stories

Mgunda atua Simba
Mgunda atua Simba
Today, READ MORE β†’
Feisal kuikosa Polisi Tanzania Leo sababu yafichuka
Feisal kuikosa Polisi Tanzania Leo sababu yafichuka
Today, READ MORE β†’
Kaizer Chiefs vs Mamelodi Sundowns: Preview ya pambano kubwa la PSL leo
Kaizer Chiefs vs Mamelodi Sundowns: Preview ya pambano kubwa la PSL leo
Today, READ MORE β†’
Manchester City kujaribu tena kumsajili Enzo Fernandez
Manchester City kujaribu tena kumsajili Enzo Fernandez
Today, READ MORE β†’
Romero atua Atletico Madrid kwa dau la Euro Milioni 40
Romero atua Atletico Madrid kwa dau la Euro Milioni 40
Today, READ MORE β†’
Ligi Kuu ya NBC yaendelea leo kwa mechi tatu, Yanga na Azam FC ugenini
Ligi Kuu ya NBC yaendelea leo kwa mechi tatu, Yanga na Azam FC ugenini
Today, READ MORE β†’
Simba kumpata Fei Toto ugumu uko hapa
Simba kumpata Fei Toto ugumu uko hapa
Today, READ MORE β†’
Simba kufunga dirisha la usajili na watatu
Simba kufunga dirisha la usajili na watatu
Today, READ MORE β†’
Ligi Kuu; Singida BS ilivyoiadhibu Fountan Gate 3-0
Ligi Kuu; Singida BS ilivyoiadhibu Fountan Gate 3-0
Today, READ MORE β†’
Singida BS yaifumua Fountain Gate 3-0
Singida BS yaifumua Fountain Gate 3-0
Today, READ MORE β†’