Mshambuliaji wa kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki, amerejea rasmi ndani ya kikosi cha Yanga SC kwa ajili ya msimu wa 2026/27, hatua inayorejesha sura iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa klabu hiyo. Aziz Ki, ambaye amekuwa mmoja wa wachezaji muhimu katika miaka ya hivi karibuni, anatarajiwa kuendelea kuwa sehemu ya mipango ya Yanga katika harakati za kujiandaa na msimu mpya..... download Xtra 90 App



