Mwaka 2026, Selemani Mwalimu na Stephane Aziz Ki walipata nafasi ya kushiriki katika mashindano ya FIFA Club World Cup nchini Marekani wakiwa sehemu ya kikosi cha Wydad Casablanca.
Baada ya safari hiyo ya mashindano ya kimataifa, wawili hao sasa wanapatikana katika klabu moja, Young Africans (Yanga SC), nchini Tanzania.
Kuwapo kwa Selemani Mwalimu na Stephane Aziz Ki ndani ya kikosi..... download Xtra 90 App



