Manchester City inatarajiwa kufanya kikao muhimu cha bodi ndani ya wiki hii kujadili mustakabali wa kocha Enzo Maresca, kufuatia kuibuka kwa wasiwasi ndani ya klabu kuhusu mwenendo wa timu chini ya uongozi wake. Taarifa zinaeleza kuwa viongozi wa klabu hiyo wanataka kufanya tathmini ya kina kuhusu hali ilivyo ndani ya kikosi kabla ya msimu mpya kuendelea.





